
Mambo yalivyo pwani ya Sinai
Maofisa
wa serikali nchini Misri wameeleza kuwa mtu mmoja aliyekuwa na silaha
amewaua askari kumi na watano katika shambulio la kizuizi cha barabarani
katika eneo la kaskazini la pwani ya mlima Sinai .
Siku za hivi makundi ya kigaidi yenye nguvu na msimamo mkali yamekula kiapo cha utii kwa kundi la wanamgambo wa dola ya Kiislaam