soundcloud

SAHAMA HAMAD 18 - Pata taarifa mbalimbali za Kisiasa, Uchumi, Dini pamoja na simulizi mbali mbali za kusikitisha zikiambatana na Makala pamoja na Tahrir za Kusisimua.. Pia tuwasiliane kupitia +255659887692 AHSANTENI...

Sunday, 13 March 2016

#AJALI YAUWA WATATU

#AJALI.Watu watatu wamefariki dunia na sita kujeruhiwa kwenye ajali iliyo husisha basi la saibaba lenya namba za usajili T720 ADE  na lori la mizigo aina ya Mitsubishi CANTER T 742 CRS  zilizo gongana uso kwa uso katika eneo la sakina jijini arusha.

No comments:

Post a Comment