soundcloud

SAHAMA HAMAD 18 - Pata taarifa mbalimbali za Kisiasa, Uchumi, Dini pamoja na simulizi mbali mbali za kusikitisha zikiambatana na Makala pamoja na Tahrir za Kusisimua.. Pia tuwasiliane kupitia +255659887692 AHSANTENI...

Monday, 6 April 2015

KARIBU KATIKA KIPINDI CHA TENGENEZA MAISHA 102.1 FM DAR ES SALAAM LEO


 













Alhamdullah sasa nuru imetawala kwa vijana wote wadau wote wa radio sauti ya qur an 102.1 fm
Sasa utapata kusikiliza kipindi kipya cha tengeneza maisha na radio na qur an 102.1 fm utatengeneza kwelikweli.
Utapata kusikiliza historia mbalimbali, utajifunza mapishi, salama kusalimiana, tutakujuza mambo mbalimbali usiyoyajua lakini pia utapata fursa ya kuchagua qaswida uipendayo yenye ujumbe mzuriii.
Kumbuka kipindi hicho kitaanza rasmi jumaatatu hii na kinakujia kila jumaatatu mpaka alhamis saa sita mchana mpaka tisa alasiri.
Vijana wenzako wapendwa said fakh, sahama hamad na jokhari msabaha watakuongozea vizuriii.
Usikose mtu watu kama ungependa kuwa nasi like tuone tuna wangapi?.
Mtaarifu na mwenzako

1 comment: