Watotohao huko ndani ya chumba wote wamebadilika na kuwa na afya
mbaya huku kucha za mikononi na miguuni kurefuka sana, nywele zimekua
ndefu kiasi cha kutisha na sura zao kuonekana kama za misukule na kuwa
kama walemavu wa miguu.
Alianza kuugua mtoto mmoja ambaye ni wa kwanza kuzaliwa, cha ajabu, kila mwaka
mwingine akafuatia hadi wa tatu. Mama huyo anadai Sababu kubwa ya kuwafungia ndani tangu mwaka 2005 anasema ni kwaajili ya usalama
wao maana anaamini kwa kuwaachia tu wangeweza hata kupotea.
Una lipi la kusema katika hili?

Katika Kisiwa cha Mafia mkoa wa Pwani mama aitwaye Mwasiti Ally amekuwa akiwafungia ndani watoto wake ndani kwa muda wa miaka 10 sasa kwa madai kuwa ni wagonjwa wa akili.

No comments:
Post a Comment