Halmashauri
kuu ya C.C.M Mkoa wa Magharibi Unguja kupitia kikao chake
kilichomalizika muda huu Kimemvua Uanachama wa C.C.M Mzee Hassan Nassor
Moyo kuwa si mwanachama tena wa C.C.M. Mwenyewe Mzee Moyo anasema
hajashitushwa na uamuzi huo na kamwe hatorudi nyuma kupigania Maslahi ya
Zanzibar

No comments:
Post a Comment