ukistaajabu mussa utaona ya firiauna kweli dunia ina mambo .
Bibi mmoja nchini morocco amejifungua baada ya miaka 46 ya ujauzito wake .
tuaambiwa mwaka 1955 zahra aboutalib ambaye sasa ana umri wa miaka 75 alikimbizwa hospitali baada ya kuzidiwa na uchungu wa mimba aliyokuwa nayo.
Baada ya masaa 48, bila mafanikio ya kijifungua kwa njia ya kawaida, madatari walimshauri zehra kijifungua kwa ya upasuaji .
kwakuwa zahra katika maisha yake aliona wanawake wengi wakifariki kutokana na kujifungua kwa njia ya upasuwaji, alikataa kujifungua kwa njia hiyo na kuamua kukimbia hospital na kurudi nyumbani kwake.
uchungu wa mimba hiyo, uliendelea kumsumbua zahra kwa siku kadhaa na baadae kutulia. siku zilikatika bila ya zahra kujifungua. miaka 46 baadae zahra alianza kusikia uchungu kwa mara nyingine tena na kukimbizwa hospitali kuu ya rabat, ambapo baada ya kufanyiwa uchunguzi na daktari wa wanawake ndipo ukweli wa mambo ulipogumgulika.
zahra aliambiwa kuwa kwa miaka yote hiyo mtoto huyo alikuwa nje ya nji wa mimba, na hatimaye kuungana na sehemu ya viungo vya ndani ya tumboni mwa zahra, na kutokana na kushindikana kuzaliwa kwa mtoto huyo alifariki.
ili kijiandaa kutokana na maambukizi yatakayotokana na maiti ya mtoto huyo tumboni, mwili wa zahra ulitengeza kitu kama ukuta mzito kuzunguka kiumbe hicho kilichofia tumboni.
Pamoja nazahra kuishi katika hali hiyo kwa miaka 46, madtari walifanikiwa kumfanyia upasuaji ambao ulikuwa wa hatari kwa maisha yake kutokana na muungano wa kiumbe hicho na viungo vya ndani vya zahra ulivyokuwa.
Nyota ya bahari bado ilikuwa kwa zahra na alifanikiwa kurudi myumbani kwake salama salimini baada ya pasuaji huo.

No comments:
Post a Comment