Umoja wa mataifa unasema kuwa haujapokea amri rasmi kutoka kwa serikali
ya Kenya ya kuutaka ufunge kambi ya wakimbizi ambayo ni makao kwa
maelfu ya raia wa Somalia.
Amesema kuwa la sivyo Kenya itachukua jukumu hilo mikononi mwake. Baadhi ya wanasiasa nchini Kenya wanaamini kuwa kambi hiyo imekuwa eneo la kuwapa mafunzo wanamgambo wa Al shabaab ambao waliwaua karibu wanafunzi 150 wa chuo cha Garissa zaidi ya wiki moja iliyopita.
Kambi ya wakimbizi wa Somalia ya Daadab