soundcloud

SAHAMA HAMAD 18 - Pata taarifa mbalimbali za Kisiasa, Uchumi, Dini pamoja na simulizi mbali mbali za kusikitisha zikiambatana na Makala pamoja na Tahrir za Kusisimua.. Pia tuwasiliane kupitia +255659887692 AHSANTENI...

Sunday, 12 April 2015

BREKING NEWS BASI LA NGANGA LAWAKA MOTO

Watu kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha baada ya basi la Nganga lililokuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Mbeya kugongana na lori na kisha kuungua moto katika eneo la Iyove mpakani mwa Morogoro na Iringa.