soundcloud

SAHAMA HAMAD 18 - Pata taarifa mbalimbali za Kisiasa, Uchumi, Dini pamoja na simulizi mbali mbali za kusikitisha zikiambatana na Makala pamoja na Tahrir za Kusisimua.. Pia tuwasiliane kupitia +255659887692 AHSANTENI...

Sunday, 12 April 2015

KILIMANJARO 5 KUWASILI ZANZIBAR NDANI YA MWEZI UJAO

Kampuni ya Azam Marine kuleta boti mpya hivi karibuni,kwa mujibu wa taarifa kupitia mtandao wao wameleza kuwa kwa sasa boti hio ya Kilimanjaro 5 imeshatoka sehemu ambayo ilikua inatengezwa na tayari kwa sasa imeshuka baharini kwa majiribio.
Taarifa hio pia imeleza kwamba wanatarijia mnamo mwezi wa tano au wa sita tayari itawasili rasmi Zanzibar kwa ajili ya kuanza kazi.