Mkutano wa CUF uliopangwa kufanyika Kitope tayari jeshi la polisi wanavutana na watu wa ulinzi na usalama wa CUF juu ya kufanyika mkutano huo kwa madai kuwa kibali cha mkutano kimefutwa ingawa tayari watu wapo huko na Maalim Seif yu apiga hodi nyumba hadi nyumba kutaka kuungwa mkono katika ajenda yake ya maslahi ya nchi na mamlaka ya Zanzibar kupatikana kwengineko vizuizi kila sehemu yanapoondokea magari Komba Wapya Muembe Ladu gari zimewekewa kizuizi zisiondoke na pia Mfenesini ili wafuasi wa CUF wasifike huko Kitope.
Pata taarifa mbalimbali za Kisiasa, Uchumi, Dini pamoja na simulizi mbali mbali za kusikitisha zikiambatana na Makala pamoja na Tahrir za Kusisimua..
Sunday, 12 April 2015
POLISI ZANZIBAR WAZUIA MKUTANO WA CUF KITOPE

Lebo:
Habari