
waziri wa fedha saaWaziri wa Fedha, Saada Mkuya alipokuwa akiwasili kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma mwaka jana kuwasilisha bajeti ya mwaka 2014/2015
Saa za mjadala katika vikao zimeongezwa ili kuziba pengo la siku 12 zinazopungua na kutoa fursa kwa wabunge kuchangia bajeti za wizara na Bajeti Kuu ya Serikali ndani ya siku 44 ikilinganishwa na siku 56 zilizotumika kupitisha bajeti ya mwaka 2014/15 na miaka ya nyuma.
chanzo:gazeti la mwananchi
No comments:
Post a Comment