soundcloud

SAHAMA HAMAD 18 - Pata taarifa mbalimbali za Kisiasa, Uchumi, Dini pamoja na simulizi mbali mbali za kusikitisha zikiambatana na Makala pamoja na Tahrir za Kusisimua.. Pia tuwasiliane kupitia +255659887692 AHSANTENI...

Saturday, 9 May 2015

MELI YA MV MAENDELEO YAKWAMA MCHANGANI

zaidi ya abiria 260 wakiwemo watoto 90 waliokuwa wakisafiri na meli ya mv maendeleo kutoka bandari ya mkoani pemba kuelekea kisiwani unguja wamekwama baharini baada ya meli hiyo kukwama katika mchanga.

Chanzo : itv

No comments:

Post a Comment