Asslm alykm
Wapendwa ule msimu wa pili wa kipindi cha tengeneza maisha kipindi ambacho kinarushwa kila siku ya Jumaa tatu mpaka alkhamis saa 6:15 mchana mpaka 9:30 alasiri unatarajiwa kuanza tena Siku ya Jumaa tatu inshaallah baada ya mapunziko ya ramadhani.
Mengi mazuri utayapata kama vile, namna ya kujifunza mapishi mbalimbali, tutasalimiana,utapata kufaham historia ya Siku husika, tahariri,juza nikujuze ambayo itakuja kivengine,linaloniumiza moyo ambapo tutayatazama mambo yanatukwaza katika jamii yetu, lakini utachagua ujumbe wa qaswida ya siku husika.
Pia wafanya biashara unayonafasi ya kudhamini na kutangaza biashara zetu kwa bei nafuu ili tuweze kutengeneza maisha yetu.
Yote hayo ni radio sauti ya qur an 102.1 fm

No comments:
Post a Comment