soundcloud

SAHAMA HAMAD 18 - Pata taarifa mbalimbali za Kisiasa, Uchumi, Dini pamoja na simulizi mbali mbali za kusikitisha zikiambatana na Makala pamoja na Tahrir za Kusisimua.. Pia tuwasiliane kupitia +255659887692 AHSANTENI...

Monday, 13 July 2015

MAUWAJI DAR MAJAMBAZI WAVAMIAKITUO CHA POLISI

HABARI WATU WAVAMIA KITUO CHA POLISI
NA KUUA ASKARI WANNE NA RAIA WANNE.

Watu wenye silaha wamevamia Kituo cha Polisi cha Sitaki shari kilichopo Ukonga jana usiku na kuua watu wanane wakiwemo polisi wanne pamoja na raia wanne na kisha kupora silaha.

Kwa mujibu wa Shuhuda wa Tukio ambae nae
pia ni askari amesema kuwa tukio hilo limetokea
majira ya Saa saba za Usiku ambapo watu hao
walifika kituoni hapo na boda boda na kuanza
kugombana baada ya polisi kutaka kujua nini
kinaendelea ndipo watu hao walipoanza kurusha
risasi.
Kwa hisani ya eatv.