soundcloud

SAHAMA HAMAD 18 - Pata taarifa mbalimbali za Kisiasa, Uchumi, Dini pamoja na simulizi mbali mbali za kusikitisha zikiambatana na Makala pamoja na Tahrir za Kusisimua.. Pia tuwasiliane kupitia +255659887692 AHSANTENI...

Thursday, 6 August 2015

GIZA NENE CUF LAWAKUMBA

 YALIYOJIRI LEO CUF


-Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi-CUF, Prof.Ibrahim Haruna Lipumba ametangaza kujiuzuli wadhifa wake huo mbele ya Waandishi wa habari kwenye `hoteli ya Peacock,Jijini Dar es salaam leo.
Prof. Lipumba amesema ameamua kuchukua uamuzi huo baada ya kukiukwa kwa Katiba ya Chama chao,hivyo yeye atabaki kuwa mwanachama.