soundcloud

SAHAMA HAMAD 18 - Pata taarifa mbalimbali za Kisiasa, Uchumi, Dini pamoja na simulizi mbali mbali za kusikitisha zikiambatana na Makala pamoja na Tahrir za Kusisimua.. Pia tuwasiliane kupitia +255659887692 AHSANTENI...

Sunday, 2 August 2015

wimbi la kuihama ccm laongezeka


wimbi la kuihama ccm laendelea.

Makongoro Mahanga amfuata Lowassa👆Chadema
Naibu Waziri wa Kazi na Ajira na Mbunge wa Segerea anayemaliza muda wake, Makongoro Mahanga leo ametangaza kuhama  CCM na Kujiunga na chadema