Kiongozi wa Cuf atiwa mbaroni Leo na jeshi la polisi Zanzibar
Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano na Umma wa CUF, Mheshimiwa Hamad Masoud Hamad, amekamatwa na Polisi akiwa nyumbani kwake Mbweni mapema asubuhi ya leo. Cuf inaendelea kufuatilia suala hilo na itatoa taarifa kuhusu kinachoendelea.
No comments:
Post a Comment