soundcloud

SAHAMA HAMAD 18 - Pata taarifa mbalimbali za Kisiasa, Uchumi, Dini pamoja na simulizi mbali mbali za kusikitisha zikiambatana na Makala pamoja na Tahrir za Kusisimua.. Pia tuwasiliane kupitia +255659887692 AHSANTENI...

Sunday, 13 March 2016

#KUELEKEA UCHAGUZI MKUU USA.

#KUELEKEA UCHAGUZI MKUU USA.

Mgombea Urais kwa Chama Cha Republican nchini Marekani Donald Trump azingirwa na maafisa wa usalama baada ya mtu mmoja kuruka na kujaribu kupanda jukwaani alipokuwa akihutubia mjini Dayton, Ohio.

Kumekuwa na maandanamo na ghasia miongoni mwa wafuasi wa republican katika mikutano ya Trump.

Trump analaumu wafuasi wa wa mgombea wa chama cha Democrat Bernie Sanders kwa vurugu hizo.

No comments:

Post a Comment