Pata taarifa mbalimbali za Kisiasa, Uchumi, Dini pamoja na simulizi mbali mbali za kusikitisha zikiambatana na Makala pamoja na Tahrir za Kusisimua..
#UTEUZI MPYA. #Habari: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ateua wakuu wa Mikoa 26 Tanzania Bara ambapo kati ya hao 13 tu ndio wapya, huku Paul Makonda akiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment