Faida ya Kunywa Juice ya ukwaju
NAMNA* YA* KUTENGENEZA* JUISI* YA* UKWAJU.*
Nunua* ukwaju* wako, ukwaju* unapatikana* kwa* wingi* sana* masokoni* na kwenye* supermarkets
- andaa maji kwenye dishi na uoshe kidogo tuu*
- baada ya kuuosha chukua ukwaju wako weka kwenye sufuria yenye maji ya saizi na injika jikoni*
- uache uchemke* kwa dakika 10/15 ili uuwe vijidudu*
- ipua ukwaju wako jikoni na uache kwa muda upoe*
- andaa maji yako masafi na chujio ili uweze kuchuja juice yako kwa uangalifu zaidi ili upate juice yenyewe
- weka sukari kwa kiasi unachopendelea*
- pia ili kupunguza ukali unaweza ukaweka hiliki au vanila ili kupata taste*
- weka juice yako kwenye fridge ili ipoe tayari kwa kunywa* FAIDA * YA* JUISI* YA* UKWAJU.*
- Chanzo kizuri cha viuasumu mwilini*'antioxidants' ambavyo huzuia Saratani (cancer)
- Chanzo cha Vitamini B na C vile vile "carotentes"
- Hushusha joto la mwili na kuondosha homa,*hasa homa ya malaria na homa ya matumbo
- Huulinda mwili*dhidi ya mafua na kero za mafua kooni
- Husaidia myeyusho na*mmengenyo wa chakula na kuondosha kuvimbiwa
- Husaidia kutibu matatizo ya nyongo (bile disorders)
- Husaidia kurahisisha choo (laxative)
- Husaidia kupunguza wingi wa lehemu (cholesterol) na hivyo*kuimarisha moyo
- Husaidia ngozi kuwa nyororo,*vile vile husaidia*ngozi inayopona baada ya kuungua au yenye vidonda
- Husaidia kuua minyoo tumboni (kwa watoto wadogo)
NB: Ikiwa ukwaju na asali havikudhuru, basi changanya hivyo viwili ili kupata faida maradufu!


No comments:
Post a Comment