soundcloud

SAHAMA HAMAD 18 - Pata taarifa mbalimbali za Kisiasa, Uchumi, Dini pamoja na simulizi mbali mbali za kusikitisha zikiambatana na Makala pamoja na Tahrir za Kusisimua.. Pia tuwasiliane kupitia +255659887692 AHSANTENI...

Saturday, 4 April 2015

viongozi wahudhuria mazishi ya mkwe wa waziri mkuu pinda

Maalim seif na Balozi Seif washiriki mazishi ya mkwe wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda

Makamu wa kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad akimsikiliza kwa makini Waziri wa Mkuu Mizengo Pinda wakati wa mazishi ya mkwewe yaliyofanyika Dar.

Makamu wa kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad akijumuika na viongozi wengine kwenye mazishi ya mkwe wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda

Vingozi mbalimbali wamehudhuria katika mazishi ya mkwewe Waziri Mkuu Mhe. Mizengo
Pinda Bw,Abdallah Suleiman Rehani.Marehemu amesaliwa Tabata Magengeni na kuzikwa katika makaburi ya Segerea.